sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 137
Waitishe hata uchaguzi ucku 2wachape......
Nampa hesima sn mzee Slaa.
Ni m'baba mwenye uvumilivu sana na ana upendo wa kweli. Kitendo cha kutumia muda wake wote kuzunguka kujenga chama si maamuzi madogo.
Mbegu anayoipanda huko thamani yake ni kubwa sn kwa ustawi wa Taifa letu, hata km si leo basi ni baadaye. Wa kusema watasema kuwa ni ishu ya posho, lakini wenye akili zetu tunaona ng'ambo ya uzio wa posho.
Tunaziona akili za watu zikifunguka na kubadilikaMungu mbariki Baba huyu.
usisahau kuwa anatengeneza mshiko vilevile (posho za safari)
Huku Arusha cdm hata ikisimamisha mkungu wa ndizi inapitausisahau kuwa anatengeneza mshiko vilevile (posho za safari)