Dk 45 itv ingekuwa uwaziri unatolewa kwa mtihani membe asingeupata uwaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk 45 itv ingekuwa uwaziri unatolewa kwa mtihani membe asingeupata uwaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matawi, Jul 17, 2012.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  nimemsikiliza mheshimiwa katika kipindi kilichrushwa jana na itv ukweli kwangu ilikuwa nafasi nzuri sana ya kumfahamu huyu mtu yukoje na kwa kifupi ameonekana kuyumba kisiasa
  1. ana maadui 11 lakini kuna siku atawataja-kakosa sifa ya uwazi
  2.vijana wa chadema innocent walikula ugali kwake kwa sababu walikuwa na njaa
  3.Nguvu ya umma kuna siku itageuka
  4.watanzania ni watu wa ajabu kila kitu wanailalamikia serikali
  5.Mamlaka iliyochaguliwa iheshimiwe
  6.vyama vya zamani vinaanza kurudi madarakani hasa huko ulaya-watanzania wasiamini katika upinzani
   
Loading...