Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,199
- 7,750
Drone za kivita ndo zinakwepa risasi mkuuIna kwepa risasi niirushe juu ya lugalo
Mkuu,kibali wanatoa mamlaka ya anga (TCAA)Kunguru wanaoiba kofia wataiacha kweli? Just kidding
Vipi kuhusu kibali kinapatikana wapi? Maana ninataka kwa ajili ya mifugo
Asante sana kwa kunielewesha hivyoMkuu,kibali wanatoa mamlaka ya anga (TCAA)
Kuna vibali vya aina mbili
•Kusajili drone
•Leseni yako wewe mtumiaji
Sasa hapo wengi wanaokata leseni ni wale photographers na video graphers ambao wanatumia drone kwa kiasi kikubwa kwenye maeneo tofauti
Ila kama unataka uitumie kwenye mifugo shambani unaweza kuitumia tu kama ni kwenye eneo lako tu
Drone nyingi huwa zina flight time ya dakika 30 kwa batteryMbona working time ni ndogo sana?
Maelekezo TunatoaMafunzo je
Inaweza ikabeba ka mzigo kadogo dogo?Free delivery in Dar es salaam