Nadhani unataka kuuliza mbona huyo Diamond keshafanya collabo na Diamond na hakuna jipya au hakufikia hata 10% ya pale alipofika WizKid!
Kama hoja yako ndo hiyo basi jibu ni hili!
Kuna tofauti kubwa mara 100 Million katia Diamond Platnumz Ft Neyo na Neyo Ft Diamond Platnumz! Umeelewa?!
Diamond Platnumz Ft Neyo itapigwa Tanzania na Africa lakini Neyo Ft Diamond Platnumz itapigwa America na kwingine itaenda kama zinavyoenda ngoma zingine!
Kama umenifuatilia vizuri post yangu, concern yangu sio Diamond kufanya kazi na DJ Khaled bali DJ Khaled kufanya kazi na Diamond! DJ Khaled akifanya kazi na Diamond kama anavyofanya kazi zingine ina maana hiyo itakuwa ni American product kinyume chake itakuwa ni Tanzanian product kama kazi itakuwa initiated na Diamond kama ilivyokuwa kwa Marry Me!