E Eberhard JF-Expert Member Dec 20, 2010 1,120 757 Apr 18, 2012 #1 Niaje kaka , breaking news, Diwani wa sombetin amejiuzuru udiwani na kujiunga na CHADEMA, Duh kunanai CCM arusha?
Niaje kaka , breaking news, Diwani wa sombetin amejiuzuru udiwani na kujiunga na CHADEMA, Duh kunanai CCM arusha?
Jackbauer JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,038 2,199 Apr 18, 2012 #2 persistance!persistance!persistance! Chadema endeleeni kuhamasisha wananchi.
M maramojatu JF-Expert Member Mar 16, 2012 1,194 1,568 Apr 18, 2012 #3 Hiyo mbona inajulikana muda mrefu sana? Tuambie viongozi wengine walio-defect nichome kilo moja sasa hivi hapa kwa mromboo!
Hiyo mbona inajulikana muda mrefu sana? Tuambie viongozi wengine walio-defect nichome kilo moja sasa hivi hapa kwa mromboo!
Losambo JF-Expert Member Nov 8, 2011 2,612 864 Apr 18, 2012 #4 Mkuu ulikuwa umelala, hiyo habari toka saa tatu asubuhi!!!!!
Dp800 JF-Expert Member Apr 3, 2012 1,755 3,608 Apr 18, 2012 #5 Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv
Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv
Losambo JF-Expert Member Nov 8, 2011 2,612 864 Apr 18, 2012 #6 Dp800 said: Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv Click to expand... Kabla ya kuanzisha uzi pitia pitia nyuzi nyingine vinginevyo unaweza kuwa kichekesho mkuu. Siyo ukiangalia ITV au TBC1 unakurupuka kuanzisha uzi ambao upo toka asubuhi.
Dp800 said: Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv Click to expand... Kabla ya kuanzisha uzi pitia pitia nyuzi nyingine vinginevyo unaweza kuwa kichekesho mkuu. Siyo ukiangalia ITV au TBC1 unakurupuka kuanzisha uzi ambao upo toka asubuhi.
under_score Senior Member Nov 2, 2011 190 45 Apr 18, 2012 #7 Dp800 said: Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv Click to expand... Mkuu, hii habari imeshajadiliwa sana tayari hapa JF, sio mbaya lakini, pengine hukuwa na access na mtandao kwa sababu yoyote ile ...
Dp800 said: Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv Click to expand... Mkuu, hii habari imeshajadiliwa sana tayari hapa JF, sio mbaya lakini, pengine hukuwa na access na mtandao kwa sababu yoyote ile ...
M mzaire Senior Member Apr 10, 2012 199 41 Apr 18, 2012 #8 ni vyema kuisisitiza ili magamba wapate uchungu zaidi.
DALLAI LAMA JF-Expert Member Jan 31, 2012 8,651 2,627 Apr 18, 2012 #9 Losambo said: Mkuu ulikuwa umelala, hiyo habari toka saa tatu asubuhi!!!!! Click to expand... alikuwa manta,sio saa 3 mkuu,lema kanitext saa 12asbh
Losambo said: Mkuu ulikuwa umelala, hiyo habari toka saa tatu asubuhi!!!!! Click to expand... alikuwa manta,sio saa 3 mkuu,lema kanitext saa 12asbh
dubu JF-Expert Member Oct 18, 2011 3,496 3,461 Apr 18, 2012 #10 kwahiyo madiwani waangapi wameachia ngazi?
DALLAI LAMA JF-Expert Member Jan 31, 2012 8,651 2,627 Apr 19, 2012 #11 Afu iyo kata ndo alisteap aside musa mkanga yule mchawi alomfungulia kesi bw lema
K kiruavunjo Senior Member Mar 30, 2011 154 32 Apr 19, 2012 #12 Kichini chama cha wala kwa meno! Jirani yangu domo kaya.