Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Card zinakuja vuta subiraLema kadi za makontena ulizoagiza kutoka China zitakuja lini??? Huku kwetu zimekwisha Tuma ndege iende China mapema Usiwe na wasiwasi ya magwanda..fundi mchundo kaongeza cherehani na wanafunzi wa VETA wana neemeka!!!!
Utashikwa na vidonda vya tumbo bure dogo,kama wanahama achana nao,we fata mambo ingine,sawa?Watu kama hawa ndo wanahitajika!! wanajua kutumia fursa...tunakwenda hukohuko kukwiba hakuna kufa maskini na pumzi bado ipo
Ukiondoa arusha na kamaha,siwahi kusikia kuna kiongozi mwingine amehama
Kile kifo cha Mende kwa ccm kimetimiaUtashikwa na vidonda vya tumbo bure dogo,kama wanahama achana nao,we fata mambo ingine,sawa?
Ukiondoa arusha na kamaha,siwahi kusikia kuna kiongozi mwingine amehama
Diwani wa Kata ya baraa na aliyewahi kushika Umeya wa Arusha mjini miaka ya Nyuma kupitia CCM Lotha Paul Laiza jana amejiondoa kwenye chama cha mapinduzi (CCM) na kujiunga kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Huu ni mwendeleza wa viongozi wa CCM wanaojitoa kwenye chama hicho na kujiunga na vyama vya upinzani.
View attachment 272371