Hii ndiyo Tanzania ya viwanda?
Kiwanda cha nguo Urafiki kimekufa lakini miundo mbinu yote ipo... Kwanini msikifufue muimarishe uchumi mtutangazie hapa ?
Sisi watanzania kiukweli wengi hatupendi kusikia mnatangaza viongozi wa vyama kuhamia kwenu ili hali vyuma vimekaza hivi... Yaani uhalisia haupo..... Otherwise viuweni kabisa vyama na mtangaze nchi imerudi kwenye chama kimoja hapo tutawaelewa vizuri kuliko hii nunua nunua.