Diva amuwashia moto mwanadada model MALU

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
170
Reaction score
376
MALU wanaokupa Matangazo Wanakudhalilisha asilimia 100. Tangazo Lako Jipya nina hakika Basata Wameliona na watalifanyia Kazi .. Kuna Ile sehemu anapanda ngazi kutoka katika swimming POOL hapana jaman hapanaaaaa hadi huruma!,

Mama @gwajimad haya maadili yanavunjwa sana imetosha

this is too Much aisee!. najua kuna PG13 ila hapana ... not in Tanzania!.

I so love her .. ila kwenye HILI nafikiri kifanyike kitu ili iwe mwanzo mwisho na sio yeye tu Mabinti wote wenye hii tabia washughulikiwe najua trends comments na likes na hela wanalipwa zinawatoa ufahamu ila hatutakiii haya mambo yan hadi Nimeliaaaa Yani Tumeona kila kitu Jamani Macho Hayana Pazia tumeona kila kitu SMH!.

kama sisi waandishi wa habari tunapaza sauti kwenye vingine hili Pia La Kupazia sauti.

MALU hatukuchukii ila tunaokoa UTU wako Public kama Vitu vilivyopostiwa Public .. Too Much na tunachofanya saa kupaza sauti wazi tena on Public utakuja tushukuru Baadae !.

Malu ni mtoto mdogo MNO .... Hadi Nimeona aibu Mimi huku asa imagine wanawake wangap wameona aibu hii .. udhalilishaji udhalilishaji udhalilishaji ... tena uliopitiliza!. hata kama kila mtu na maisha yake but hapana aaaaah. ameyasema hayo mtangazaji diva.

 
Bila hiyo video na wewe pipy tida tunakuona mzushi tu kama huyo Diva.
 
Diva anasema hii
 
Mimi naona hili ni jambo dogo la kupotezea. Mtu kujivalia chupi na kufanya tangazo haipaswi kuwa mjadala kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…