Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,395
- 9,174
Shida yako ni ku apply au ulienda kuangalia uzuri wa site? Akili zingine sijui huwa mnafikiria nini.
Hata hivyo mkuu kile chuo kinatoa watu mafundi ila hiyo tovuti yao huwezi zania haieleweki
Weka linkiNenda na site ya TCRA ulete mrejesho ipi yenye nafuu
Kikawaida mkuu organisation's kubwa nyingi website zao ni barebone, usitegemee mbwembwe. Pengine sio mbaya kama hio lakini pia si nzuri.Yaani huwezi amini tovuti ya dit ilivyo na muonekano mbaya vile mpaka keroo yaan nilitaka kuappy chuo kikubwa kama kila nikaongeze ujuzi kwenye programming ila baada ya kuona tovuti yao haina mpangilio yaan mbovuu hata ninayoweza kudesign mwenyewe nzuri
Pls jmn DIT mnatuaibisha fanyeni mpango mrekebishe hio tuvuti yenu
embu cheki www.dit.ac.tz
Bora hao wana website isiyo na muonekano mzuri, UDOM website yao ili hakiwa na password za wanafunzi zikawekwa hapa JF.Yaani huwezi amini tovuti ya dit ilivyo na muonekano mbaya vile mpaka keroo yaan nilitaka kuappy chuo kikubwa kama kila nikaongeze ujuzi kwenye programming ila baada ya kuona tovuti yao haina mpangilio yaan mbovuu hata ninayoweza kudesign mwenyewe nzuri
Pls jmn DIT mnatuaibisha fanyeni mpango mrekebishe hio tuvuti yenu
embu cheki www.dit.ac.tz
Bora hao wana website isiyo na muonekano mzuri, UDOM website yao ili hakiwa na password za wanafunzi zikawekwa hapa JF.