Alfred JF-Expert Member Joined Apr 13, 2008 Posts 1,869 Reaction score 3,086 Aug 22, 2016 #1 Samahani Wadau wa Jamiiforums, Naomba kuuliza Kati ya Udsm na DIT wapi pametulia katika kozi ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering), Hasa ukizingatia Competence ya Graduates kutoka vyuo Hivyo Viwili.
Samahani Wadau wa Jamiiforums, Naomba kuuliza Kati ya Udsm na DIT wapi pametulia katika kozi ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering), Hasa ukizingatia Competence ya Graduates kutoka vyuo Hivyo Viwili.
Chwichwi JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 2,296 Reaction score 2,078 Aug 23, 2016 #2 Kasome DIT ila jiandae kula msuli wa kutosha.
Lazaroj JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,450 Reaction score 1,051 Aug 23, 2016 #3 Alfredtz said: αfuu nαѕkíα dít ní ѕpєcíαl kwα mα tєchnícíαnѕ Click to expand... Sasa form six anakuja kutafuta nini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Alfredtz said: αfuu nαѕkíα dít ní ѕpєcíαl kwα mα tєchnícíαnѕ Click to expand... Sasa form six anakuja kutafuta nini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]