DIT Undergraduate selection

hali mbaya

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
79
Reaction score
22
Mi ni mmoja kati ya tulioomba admission chuo cha DIT kupitia TCU lakini mpaka sasa hakuna majina yaliyotolewa.

Vyuo vingine vimeshatoa UDOM, UDSM, etc.

DIT kunani?
 
Kuna tetesi kuwa majina soon yatakuwa hewani. Kwani mechanical Eng. Washabandika majina yao pale chuon. Ila hali ni tete kwa kweli
 
Kuna tetesi kuwa majina soon yatakuwa hewani. Kwani mechanical Eng. Washabandika majina yao pale chuon. Ila hali ni tete kwa kweli

Vipi adi hawa waliojaza sec round?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…