disk not initilized msaada wadau

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,011
disk yangu inaandika disk not initilized msaada wadau


chief mkwawa
 
iyo inamaanisha hdd yako haiwezi kusoma kutokana na motor kutozunguka (spin). Kucheki kama ni kweli conect hdd afu skilizia kama ina spin.
 
Kwanza anza kuangalia hivvyo ulivyoambiawa kama HDD inazunguka halafu ulete mrejesho
 
ingia kwenye disk management, then angalia kama inaonekana . Right click uone options zinazokuja
disk not initilized den niki right click inanmbia mbr na gpt
 
disk not initilized den niki right click inanmbia mbr na gpt
mkuu iyo disc haiwezi kuspin. Ingekuwa inaspin hapo kwenye disk management isingeweka hako kamshale kekundu. Hapo deal na hard ware solution no software solution.
 
mkuu iyo disc haiwezi kuspin. Ingekuwa inaspin hapo kwenye disk management isingeweka hako kamshale kekundu. Hapo deal na hard ware solution no software solution.
kwa hyo mkuu disk yanu imekufaa
 
kwa hyo mkuu disk yanu imekufaa
download program inayoitwa MiniTool Partition Wizard Home Edition , fungua wakati umechomeka hiyo HDD. Angalia kuna options nyingi huko kama itakubsali kuformat
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…