mkuu hapa ashamaliza kila kituKwa frequencies za channel za Tanzania tembelea HAPA na za South Africa siko sure sana but jaribu zilizopo HAPA apo scroll chini kabisa mpaka
uone MY TV then anza kujaribu hizo frequencies kuanzia hapo.. vinginevyo vyote juu ya MY TV haikubali so anzia hapo.
Jinsi ya kutambua ipi ndo Symbol Rate na ipi ni Frequency angali iyo picha chini:
View attachment 41271
Thanx kijana ngoja nianze kufanyia kazi...hizo linkKwa frequencies za channel za Tanzania tembelea HAPA na za South Africa siko sure sana but jaribu zilizopo HAPA apo scroll chini kabisa mpaka
uone MY TV then anza kujaribu hizo frequencies kuanzia hapo.. vinginevyo vyote juu ya MY TV haikubali so anzia hapo.
Jinsi ya kutambua ipi ndo Symbol Rate na ipi ni Frequency angali iyo picha chini:
View attachment 41271
​Ndugu mbona unamdanganya mwenzio mchana kweupeee! toka lini kwenye installation unaanza na symbolate kisha frequency,Pili toka lini symbolate ya TBC1 ikawa 3892 na frq ikawa 4444. Bwana Sinziga jedwali liko sawa hizo zinazoanza ndo frq na zinazofuata ndo symb
thanks kwa kunirekebisha nimezichanganya mkuuNdugu mbona unamdanganya mwenzio mchana kweupeee! toka lini kwenye installation unaanza na symbolate kisha frequency,Pili toka lini symbolate ya TBC1 ikawa 3892 na frq ikawa 4444. Bwana Sinziga jedwali liko sawa hizo zinazoanza ndo frq na zinazofuata ndo symb