Dira ingekuja na Graph, Key performance, Budget, Allocation na Projection

muonamambo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
879
Reaction score
551
Dira ingekuja na Graph na Key performance indicators .Figures na Projection .

Ninachokiona na Maneno Mengi yasiokuwa na scientific back up !

Botswana wana Dira ya Miaka 25 .

Mambo makubwa wanayoweka humo .
Miundombinu ya barabara .

Wanaontesha kila mwaka watajenga km ngapi za barabara , Barabara zipi, Maeneo gani na source za fedha zitatoka wapi. Wanaweka hayo kwa Miaka 25.

Kupima viwanja na kuweka huduma muhimu.

Wanaonyesha viwanja vitapimwa maeneo mbali mbali lwakiguza kila mkoa , Wanaonyesha upelekaji wa huduma kama umeme , Maji na Waste water system.Wanaonyesha Estimate budget na where to source hiyo fedha . Wanatengeneza mpango wa miaka 25 na mpango wa kila mwaka .

Umeme. na Maji.

Wanatengeneza mpango wa kuzalisha na kusambaza Umeme na Maji wa miaka 25 , Wanaeeka kila mwaka ni maeneo gani yatafaidika, Budget zake na wapi watapata pesa.

Hospital na huduma za Afya … The same

Source za Fedha

Migodi.. Wanaweka mpango wa kuongeza uzalishaji wa mazao ya madini na kuongeza tija , Wanaweka budget ya kuongeza uzalishaji, Budget ya utaalamu na kusomesha watu wao.

Tourism.

Wanaweka mikakati ya kuongeza mapato ya sector ya Tourism kwa miaka 25 , Maeneo na budget .

Kilimo .

Wanaweka mikakati ya kilimo kwa miaka 25. wanaweka budget na performance zilizopita ..

Mkuu umeipitia na kuisoma Dira yetu ?

1. Tunaambiwa Dira imekusanya Maoni ya Watu 10000 Plus .. Hilo sio Tatizo, Tatizo baada ya kukusanya hayo maoni ni watu gani wanatakiwa kukaa na kuchangua kisha kuandaa Dira?
2. ⁠Dila lazima ijikite kuwenye vitu vichache amabavyo ni vipaumbele vya nchi .. Kwenye mapato na kwenye matumizi.
3. ⁠Lazima ilekeze mfano kwenye mapato ni sector zipi nchi itajielekeza na kuleta historia ya performance ya sector hizo, Changomoto, Ushauri wa kuyatatua, Resources, Busget za kuongeza tija nk nk
4. ⁠Kwenye matumizi, Serikali inatakiwaa kujikita katika huduma muhimu na kuweka vipa Umbele. Mfamo , Miundombinu ya barabara, Reli, Miji nk , Kuweka kila Target za mwaka na miaka 25, Same on Umeme, Maji, Hospital na Huduma zingine muhimu hata mipango miji na vijijiji.
5. ⁠Dira lazima iangalia baseline performance na kuja na realistic projection .
Sasa nilichokiona leo . Sijui labda mimi sielewi maana ya Dira


 
Kiongozi mkuu hajui hata multiplication table unategemea nini
 
Mwendo wa kanyaga twende,Taifa hili lina watawala wa ajabu sana.

"Uchumi tunao,lakini tumeukalia"Mwl.Nyerere
Dira inatengenezwa na Jopo la wataalamu kwenye mambo ya Uchumu, Nishati , Maji , Viwanda , Kilimo , Tourism na sector ambazo nchi inataka kuweka projection ya miaka 25 , Mwaka mmoja mmoja mpaka kufika 25 Years . Dira haitengenezwi kwa kuuliza Kaya kwa Kaya 😀
 
Mipango yetu inakosa Scientific Progressive Plan in effecting short term cases / long term cases
Kitila anaongea kama implementation itafanyika kwenye Sayari ya Mars Yaan ndani miaka 25 puuuuuh 84B USD- GDP 700B USD & PER CAPITA 1084- 4,700-8000 USD (hapa tu inaonyesha mwamba hayupo serious range 4'700- 8,000), margin ni kubwa Sana I wish it could be between 4,700-5,700 Somehow sounds sio hiyo yake.
 

1. Tunaambiwa Dira imekusanya Maoni ya Watu 10000 Plus .. Hilo sio Tatizo, Tatizo baada ya kukusanya hayo maoni ni watu gani wanatakiwa kukaa na kuchangua kisha kuandaa Dira?
2. ⁠Dila lazima ijikite kuwenye vitu vichache amabavyo ni vipaumbele vya nchi .. Kwenye mapato na kwenye matumizi.
3. ⁠Lazima ilekeze mfano kwenye mapato ni sector zipi nchi itajielekeza na kuleta historia ya performance ya sector hizo, Changomoto, Ushauri wa kuyatatua, Resources, Busget za kuongeza tija nk nk
4. ⁠Kwenye matumizi, Serikali inatakiwaa kujikita katika huduma muhimu na kuweka vipa Umbele. Mfamo , Miundombinu ya barabara, Reli, Miji nk , Kuweka kila Target za mwaka na miaka 25, Same on Umeme, Maji, Hospital na Huduma zingine muhimu hata mipango miji na vijijiji.
5. ⁠Dira lazima iangalia baseline performance na kuja na realistic projection .
 



Pitia hiyo site ya SDG’s uone kama kuna tofauti ya walichoanda na walicho sign UN assembly 2015.

Moja ya twaka hapo ni uchumi kukuwa kwa asilimia 7% miałka 15 mfululizo from 2015 to 2030 ilikupunguza umaskini, sasa hivi ata asilimia sita atujafika ya ukuaji wa uchumi. Ndio tuingelee ndoto za kukuwa kiuchumi close to 20% annually ili kufikia $1 trillion

Utajenga uchumi wa viwanda wakati loan assets za bank leo kwa biashara ni less that 20% wakati average ya nchi zilizoendelea 65%-80%.

Ni hivi ni watu wanaokutana tu kujadili ujinga, kuandika ujinga ma kupongezana ujinga.

Ujinga mtupu
 
Ingeleta maana sana. Unaposema utajenga irrigation scheme utuambie ni wapi na time frame yake. Wananchi nao wanakuwa wanapanga mipango kwenda na dira. Utajenga kinu cha umeme, wapi na time frame yake. Mtu akijua sehemu fulani watafanya hivi anaweza amua kuhamia huko. Makampuni nayo yanafanya maamuzi kwa mtindo huo. Yaani nchi nzima inakuwa inaongozwa na dira ya taifa. Maneno ya juu juu yanachosha sana.
 
Nadhani wataweza rekebisha maadam ni uzinduzi walione hilo huenda wamewahi kwasababu fulani lakini nakazia hapa dira ingetakiwa kuonesha haya mambo

1. Phased implementations yaani mradi upi au jambo gani lifanyike kwa kipindi gani mfano kuna baadhi ya nchi kama za mashariki ya kati (Saudi Arabia) na kaskazini mashariki (China) waliweka vipao mbele na malengo fulani na moja ya target yao ilikuwa 2019 to 2025 watawekeza kwenye michezo kwa kujenga viwanja vikubwa vya michezo ili kuvutia uwekezaji wa sekta ya michezo ni mwishoni kutake over tunaona sasa

2.Resource mobilization plan yaani makisikio ya bajeti katika utekelezaji wa miradi husika hii itajumuisha na upatikanaji wa fedha je tumelenga kupata fedha katika vyanzo vipi ni hatua ya mwanzo ila inaweza kuwa fixed

(e.g fedha zitapatikana kutoka mapato ya ndani na itakuwa kwqsababu gani tutafanya nini kuongeza ili pato la ndani labda tutaboresha masoko yetu na vituo vya matibabu, tutaendeleza reli ifike mikoa fulani ili kuongeza utendaji wa shirika na kupata kiasi hiki, kutanua sekta ya usafirishaji wa anga na kuhakikisha tuna ndege za ndani zitakazo fanya kazi mikoa yote mpaka 2050 na tutaongeza huduma tukipunguza gharama ili kuongeza pato na mzunguko wa huduma, utanuzi wa bandari utakao pelekea meli flani kubwa na za kisasa kupakia na kushusha, same iwe katika kilimo sio tuu kulima ila kuna mazao ya kimkakati hata kama kuwe na mdororo wa kidiplomasia lakini watu watakuhitaji etc )

3.Kuweka kipaombele kwenye sekta fulani katika dunia ya kwanza yaani nchi zilizo endelea walipo amua kupiga hatua waliweka kipaombele na kuendeleza maenenk yalio ounguza mwisho kutokomeza kero za wananchi wao nilishawahi kuandika kwenye uzi wangu mmoja kuna kero ama changamoto tukiwa nazo mpaka 2035 ni aibu na haitakuwa oicha nzuri mfabo kukatika kwa umeme na shida ya maji dira inajikita zaidi katika maendeleo ya taifa kwa ujumla ni jambo jema ila huu ujumla utabebwa na mambo madogo madogo huku ndani ni lazima waanze kwa kutatua changamoto ndogo ndogo lakini ni kubwa kwa wananchi watoe huduma za uhakika kwenye maji, umeme, miundombinu, uchukuzi na maswala ya kielimu iwe with in 10 years from now

Na maanisha nini katika ilani za vyama husika waweke malengo ya kufika 2030 huduma za maji safi ziwe zimefika nchi nzima tujikite hapo kwanza kwa nguvu japo mengine yataendelea na yawepo namba mbili hili likiwa linaisha basi tuingie umeme then tumalize na barabara huku mebgine yakiendelea

yakiisha hayo ndio yaje mambo kama ujenzi wa miji mikuu na miji ya kibiashara hii itahusisha na ujengwaji wa shule na vyuo katika kila mikoa sio lazima vyuo viwe mikoa baadhi tuu nchi nzima inatakiwa kila mkoa uwe na chuo kikuu.

4. Ingehusisha ama kueleza vigezo vya kupima mafanikio (KPI-key performance indicators) hapa panaweza gusia kabla ya uzinduzi maendeleo ama sektabfulanibzipo asilimia hii kulinganisha na shabaha zetu how are we going to combat them lazima ingeoneshwa mkakati wa namna gani kuongeza ufanisi wa sekta zilizo dondokea kwenye dira hii ya 2050 na ni mbinu gani zilitumika kutathimini haya mambo na utatoa dira gani?

Wamefanya kazi huu ni mwanzo maadam safari ya hatua million huanza na moja hongera sana kwao naimani wataendeleza na kuchukua marekebisho machache tunayo toa humu ndani.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…