R Rama7 Member Joined Oct 22, 2012 Posts 26 Reaction score 3 Mar 14, 2014 #1 wanajamii kama kuna mtu ameckia kuna kampuni inahitaji technician wa civil anijuze maana huu msoto ni nooma
wanajamii kama kuna mtu ameckia kuna kampuni inahitaji technician wa civil anijuze maana huu msoto ni nooma
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Mar 14, 2014 #2 Rama7 said: WANAJAMII KAMA KUNA MTU AMECKIA KUNA KAMPUNI INAHITAJI TECHNICIAN WA CIVIL ANIJUZE MAANA HUU MSOTO NI NOOMA:mod: Click to expand... kuna telecom company ya wafaransa inaitwa camusat ipo mbezi beach palsm st plot 149 kesho kuanzia saa nne wanafanya recruitment nenda kajaribu maana ndio ndio inafunguliwa hapa tzukipotea piga +255 0753 907331google camsat tanzania kwa more info!
Rama7 said: WANAJAMII KAMA KUNA MTU AMECKIA KUNA KAMPUNI INAHITAJI TECHNICIAN WA CIVIL ANIJUZE MAANA HUU MSOTO NI NOOMA:mod: Click to expand... kuna telecom company ya wafaransa inaitwa camusat ipo mbezi beach palsm st plot 149 kesho kuanzia saa nne wanafanya recruitment nenda kajaribu maana ndio ndio inafunguliwa hapa tzukipotea piga +255 0753 907331google camsat tanzania kwa more info!