Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Fanya Postgraduate ya ualimu
Kwanza ni mda mfupi
Pili utaanza na TGTS D
diploma nI miaka 2
Halafu unaanza na TGTS C
Zingatia ushauri wa Apologize lady,
hakuna direct entry ya post graduate ya ualimu! Kwanza hujiulizi katka ngazi za mshahara kuwa hiyo PGDE unakuwa category gani?
Serikalini directly entry ni Grade A, Diploma na Bachelor basi. Hiyo post unakuwa ni additional tu.

Wanaajiriwa ajira mpya???
Kama wanaajiriwa unahofu gani na umri??? Maana kila ngazi ya elimu inaeleweka mtu anakuwa na umri fulani, why uogope??
Acha kudanganywa, idara ya elimu inaajiri watu wa diploma na degree za education tu na si vinginevyo.
Kama nia yako ni ajira mpya rudi kasome diploma utapata ajira tena bila shida maana wana uhitaji wa walimu wa sayansi. Ila ukisoma PGDE nakuhakikishia utarudi kulalama hapa.
PGDE na masters ni extra tu ila haikufanyi ukaajiriwa, inawahusu sana ambao tayari either ana diploma au degree ya education ivo anajiendeleza tu, kwa ajira mpya mmmh!!!! Labda waanze kesho
PGDE WANAAJIRIWA DIRECTLY WAKUU,
NGAZI YA MSHAHARA NI TGTS D,
EQUIVALENT TO BACHELOR DEGREe.
why hiyo ada usiitumie kama Mtaji??
niko njia panda hapo,
Zingatia ushauri wa Apologize lady,
hakuna direct entry ya post graduate ya ualimu! Kwanza hujiulizi katka ngazi za mshahara kuwa hiyo PGDE unakuwa category gani?
Serikalini directly entry ni Grade A, Diploma na Bachelor basi. Hiyo post unakuwa ni additional tu.
niko njia panda hapo,
jaman karibun mnipe wazo mwenzenu,,nimesikia ushaur wenu wa pande zote mbili,lkn bado nipo njia panda,maana kuna mdau kasema mwakan kunaweza kukawa na kuadimika kwa ajira.
Kama ushauri umeshapata ,hapo hamna la zaid ni we kuchanganua kipi bora. Kilichobak watu wanabishana tu bila fact.
Japo mm naona bora Pgde mana hata ukikosa serikaln uwez kukosa ajira hata private..na hata vyuo vya ualimu kufundisha
Diploma miaka miwili ndugu na hapo ukipata ajira unaanzia daraja la diploma ..
Acha kudanganywa, idara ya elimu inaajiri watu wa diploma na degree za education tu na si vinginevyo.
Kama nia yako ni ajira mpya rudi kasome diploma utapata ajira tena bila shida maana wana uhitaji wa walimu wa sayansi. Ila ukisoma PGDE nakuhakikishia utarudi kulalama hapa.
PGDE na masters ni extra tu ila haikufanyi ukaajiriwa, inawahusu sana ambao tayari either ana diploma au degree ya education ivo anajiendeleza tu, kwa ajira mpya mmmh!!!! Labda waanze kesho
watu wa PGDE wanaajiriwa mkuu hata mwaka jana wameajiriwa na inahesabika kama bachelor tu na wala sio masters
Nafikiri kuna sehemu hatuelewani. Mtu wa postg anaajiriwa kufundishaa primary au secondary????
wanapangiwa sekondari kama bachelor
sijalijua hlo, ninachojua mim kuna watu ambao walisoma diploma au degree za ed hawakuajirika wakaenda kujiongeza na postg ndio wanaoajiriwa,
Lakini mtu alietoka course tofauti kabisa na ed huku chini then akapiga postg ed hapo sina uhakika,
Nipo nalifanyia uchunguzi wa kina
apologise lady nnachokwambia nna uhakika nacho ukiwa na shahada yoyote unasoma pgde na kuajiriwa na serikali kwa ngazi ya TGS D.serikali inaitambua hyo kama mtu mwenye bachelor ya education.