jaman naomba msaada kuhusu pande hizo mbili,,mimi nimehitimu shahada ya uhasibu,lkn kutokana na tatizo la ajira nimefikilia kwenda ualimu,,ualimu wa diploma masomo ya sayans wanatoa mkopo,ila tatizo ni miaka 2,ila nahis ajira yake ni uhakika,,lkn postgraduate diploma ada ni ndefu mil 3.5,ila mwaka ni mmoja na kuhusu ajira zake kwa mwaka huu inaonekana ni shida,,nishaurin nisome ipi?
Ajira zake ni shida kivipi mkuu?maana hata mimi nilikuwa na wazo hilo la kusoma PGDE nikitegemea urahisi wa ajira
Nenda diploma 2 kwavile ushasema ajira yake ni uhakika
PgdE pia ajira unapata
PgdE pia ajira unapata
Acha kudanganywa, idara ya elimu inaajiri watu wa diploma na degree za education tu na si vinginevyo.
Kama nia yako ni ajira mpya rudi kasome diploma utapata ajira tena bila shida maana wana uhitaji wa walimu wa sayansi. Ila ukisoma PGDE nakuhakikishia utarudi kulalama hapa.
PGDE na masters ni extra tu ila haikufanyi ukaajiriwa, inawahusu sana ambao tayari either ana diploma au degree ya education ivo anajiendeleza tu, kwa ajira mpya mmmh!!!! Labda waanze kesho
huwa wanaajiriwa ila wasiwas unakuja kwa hii miaka tunayo endanayo.
Zingatia ushauri wa Apologize lady,huwa wanaajiriwa ila wasiwas unakuja kwa hii miaka tunayo endanayo.