Jaman sirikali haijui hayo mnayoyasema mara gpa mara diploma ya awali, msingi au upili au vyuo sijui nni kama ni ualimu diploma ni tgts C. Ila advance diploma huwa ni equivalent to degree hata mishahara inalingana. Na kumbuka diploma ya ualimu ndo inalipwa kidogo zaidi ukilinganisha na diploma za fani nyingine kama afya, uhandisi au sheria. Tena huku kibaya zaidi hata masters na PhD hawazitambui halafu eti ni elimu. Ilitakiwa kuwe na mishahara inayokaribiana maana kulingana sio rahisi.