Diploma ya pharmaceutical science vs clinical medicine

Mkuu ungewaza kwanza opportunity zake na wewe ipi ungeweza kuhihandle vizuri kuliko mshahara wake.

Ila ngoja waje wenye maelezo ya kina.
 
Naomba kujuzwa jamani IPI ni nzuri na mishahara yake ipoje?

Zote nzuri

Mishahara zinalingana

Ajira za kutafuta( Ila zipo zipo kimtindo private sector maana serikali imestop kuajiri hadi mwaka gani sijui)
 
pharmaceutical nzr kakomae nayo tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…