wana jf mambo vipi wadau polen na majukumu ivi kati ya food science na mining eng ipi inatoa na hipi ni ngumu katika usomaji hasa kwa chuo kama DIT,kwenda degree coz ipi wanafaulu sana kati ya hizo mbili???
Angalia moyo wako Mkuu maisha yamebadilika sana. Unaweza soma Mining ukajutia. Angalia wewe unataka nin. Lakin unapochagua kozi usichague kozi za muda. I.e mining. Kama unauwezo soma diploma ya electrical au civil engineering. Hayo ni mawazo yangu tu. Usiangalie ugumu wa kozi we Nenda kapambane
Mmhh!! yaan siku hizi diploma wanataka kozi ambayo watafka GPA ya 3.5 lakini bro nakushauri nenda kitu roho inapenda usije ikatokea kufanya kazi kwa masikitiko makubwa Sana kuwa haupendi kazi yako
Bro mm nimesoma DIT yani ni kwamba Hanna coz rahisi zote no ngum but kwa ushauri chagua electrical, oil and gas, biomedical, hizo kidogo ajira au kujiajir inawezekana lakin ktk DIT Hanna coz rahisi.