Diploma ya Elimu ya Awali

gast123

Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
36
Reaction score
19
Naomba kuuliza hivi, ni kweli et kuna wanachuo wanaosomea diploma ya elimu ya awali? je kama wapo wataajiriwa na serikali au vip maana kuna mtu kaniambia et kuna wanachuo wanasoma diploma miaka 3 tena ya awali!!!
 
Namm naomba mnisaidie vyuo vya serikal vinavyotoa diploma ya elimu ya awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…