Aisee TCU bora mngeturudisha NACTE tuapply huko. Au kama mnashusha GPA mtuambie kwahilo tutasubiri tuu maana hamna namna nyingine. mpaka leo tarehe nne hamna guide book ya equivalent wala application hazijafunguliwa. sio hakiiiiiiii
Sijui kwa sisi ambao tayari tulilipa elfu 50,000 kwa Nacte na tukashindwa kukamilisha registration kwa sababu ya kutokuoenekana kwa baadhi ya VYUO,,, Wasije wakatutupa jamani mmh