Diploma In Primary

Tauc George

Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
34
Reaction score
14
Habari wapendwa....naomba kufahamishwa kozi tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:
1:Usajili huwa ni muda gani?
2:Usajili huo huwa upoje?(online/kujaza fomu)
3:Muhula wa masomo huanza lini(mwezi gani)
Ahsanteni.
 
1. USAJILI unaanzaga June/July mpaka October
2 Vyuo vingi wanafanya online ila inategemea na chuo husikaa
3. MUHULA WA MASOMO unaanzaga October mpka November
 
1. USAJILI unaanzaga June/July mpaka October
2 Vyuo vingi wanafanya online ila inategemea na chuo husikaa
3. MUHULA WA MASOMO unaanzaga October mpka November

Ahsante Sana...Hiyo Online Registration Huwa Inafanyika Kabla Ya Muhula Mpya Wa Masomo Kuanza Au??
 
Boss taus vipi kwanzaa

Hii diploma in primary ndo nn

Unamanisha diploma In primary education au??
Mbona unakua kama yule kaka ako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Ipo Kaka....Hii Kozi Ipo Kabisa....
 
Ina fursa kubwa sana hii kozi,Tofauti na zile za bissness ama uhasibu
 
Habari wapendwa....naomba kufahamishwa kozi tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:
1:Usajili huwa ni muda gani?
2:Usajili huo huwa upoje?(online/kujaza fomu)
3:Muhula wa masomo huanza lini(mwezi gani)
Ahsanteni.
Diploma in prmary duuh au mimi ndio sijaelewa?
 
Kabla sijaingia mtandaoni napenda kujua Primary ni nini na iyo Diploma in primary inahusu nini

Nowdays hamna zile kozi za ualimu wa cheti kama awali ambapo ilichukuliwa mpaka div 4,now ni div 3 au uwe na hicho cheti cha ualimu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…