Diploma in early child care and education(ODECE)

Ukiwa na mtaji hii ni miongoni mwa taaluma ambazo ni rahisi sana kujiajiri, kwasababu kuna watu wengi hawana walezi wa watoto.

Mnaweza kuungana wataalam kadhaa na kufungua kituo cha day care. Mkiitumia vyema elimu mliyofunzwa kituoni kwenu, hakika mtapata sana wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…