Yes, watapata, 1st club always get the cashEti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Wewe ndio kihande kabisaEti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Hizi ni terms and conditions za usajiliEti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Nimependa jina lako bwana mjinga wewe.
Jinsia yako?Nimependa jina lako bwana mjinga wewe.
Huyo ni sawa na demu mpya.bado hajazoea ndoaAtaendelea kuwakanda
Onana alifunga goli kwenye tamasha maneno yakawa mengi sana, ila kila uchao ana deteriorate sponteneously.
Futa hii comment fastaa kabla watu hawajaionaEti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Comment yako inaonesha akili yako ndogo kwenye upande wa mpira na makubaliano ya mikatabaEti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Uko dunia ya wapi ndugu!! Mbona haya mambo yapo duniani kote!!!Eti mchezaji halali wa Yanga kisha maniema watapata PESA Yanga wakimuuza.
KAZI ni kipimo cha utu
Kama Kibu anavyowakanda...mkiona rasta mnajua nyoka wanang'ata...Ataendelea kuwakanda
Rage ajengewe sanamu yake pale mbumbumbu fc aisee[emoji3]Simba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye ushindi wa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara hivi karibuni.
Simba wamepiga simu kwa klabu ya zamani ya Nzengeli ya Union Maniema ya DR Congo na kumwaga ofa nzito wakijua kwamba huenda kiungo huyo yuko jangwani kwa mkopo kama ilivyowahi kuzushwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya wachambuzi.
Hata hivyo, Mwanaspoti linajua Simba wamejibiwa kwamba Nzengeli ni mali halali ya Yanga na kwamba kama kuna hatua za kumuuza licha ya Maniema watapata mgao wao lakini watu wa kwanza watakaosimamia biashara hiyo ni watani Jangwani ambapo hawakuridhika wakaingia mfukoni na kutoa ahadi nzito kwamba mabosi hao wa Maniema basi walianzishe kwa kutaka kumchomoa kisha wao watamwaga fedha za kufuru mara mbili ya zile ambazo Yanga walilipa.
View attachment 2822835
Siku ile wanabugizwa 5 hivi alikuwa amesafiri au alikuwa majeruhi.Kama Kibu anavyowakanda...mkiona rasta mnajua nyoka wanang'ata...
Kibu mkandaji wa Yanga