Juakali1980
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 798
- 506
Ukabila upi mbona Watanzania huwa mna unafiki kichizi hivi.Ukabila hautakwisha Kenya.
Ha ha ha, povu la mkenya.Ukabila up mbona Watanzania huwa mna unafiki kichizi hivi.
Hili ni jambo la kawaida kupata sifa fulani ndani ya makabila fulani fulani na lipo hata Tanzania. Kwa mfano Wahaya ni wenye kupenda majigambo na elimu. Wachagga hupenda kusaka hela n.k.
Kenya pia makabila tofauti yana tabia na desturi zao. Mimi hapa Mkikuyu nasaka hela balaa.
Sione ukabilaUkabila hautakwisha Kenya.
Huwezi kuuona.Sione ukabila
Ha ha ha, povu la mkenya.
Ukabila hautakwisha Kenya hata nikijifunza inshomire (nimesoma) kwa Kihaya. Usifananishe Tz na Kenya kabisaa. Acha mara moja.Kajifunze nini maana ya neno 'inshomire' kwa Kihaya.
NaamUkabila hautakwisha Kenya hata nikijifunza inshomire (nimesoma) kwa Kihaya. Usifananishe Tz na Kenya kabisaa. Acha mara moja.
Ukabila upi mbona Watanzania huwa mna unafiki kichizi hivi.
Hili ni jambo la kawaida kupata sifa fulani ndani ya makabila fulani fulani na lipo hata Tanzania. Kwa mfano Wahaya ni wenye kupenda majigambo na elimu. Wachagga hupenda kusaka hela n.k.
Kenya pia makabila tofauti yana tabia na desturi zao. Mimi hapa Mkikuyu nasaka hela balaa.
lkn nyie haiishii HAPO tu. there's a time nilikuja huko, nikafika hadi Nairobi. katika pitapita yangu na mwenyeji wangu. nikagundua kumbe hata hizi bar huwezi ingia tu na kuanza kunywa. lazima uangalie inayomilikiwa na wa kunyumba. ukifika hapo utakuta akina dada na wateja wao wanalonga warere waterere. nikaachwa mdomo wazi. hapo ndo nikajua bongo si ya KAWAIDA.
Unachanganya tafsiri ya kuchanganyika. Wakristo wakikutana kwa ajili ya ibada huo ni mkusanyiko wa kiimani. Lakini ukikutana Wakristo peke yao kwenye shughuli ya msiba (kwa Nchi yenye mchanganyiko wa Imani) hilo ni tatizo.Wapi ukabila hapo, hivi unajua maana ya ukabila, kwa watu kukusanyika wanaozungumza lugha moja ukaambiwa huo ni ukabila, inafaa ufahamu hilo ni jambo la kawaida tangu uumbwaji wa dunia, tafuta darasa la historia na pia jaribu kupata ufadhili ufaulu kuondoka nje ya Tanzania hata kwa siku moja, ni kawaida kwa binadamu kukusanyika kulingana na matabaka, kunao hukusanyika kanisani wanajiita Wakristo, na hata kwa hao Wakristo kunao humo ndani walokole na wakatholiki.
Taswira ndio hiyo hiyo kwa waislamu, na wote wanasema wanamuabudu Mungu mmoja.
Hata hapo Tanzania, kabla mzungu hajaja na kuchora chora mipaka yake na kusema muitwe Watanganyika, awali kulikua na watu wenye asili zao.
Binadamu ndivyo alivyo, ni kawaida yake kukusanyika kulingana na kundi analofanana nalo kwa kila jinsi, kwa mfano hapa Kenya kuna sehemu inaitwa Gikomba, huwa pamejaa Wachagga wa kutokea Tanzania, wewe ukija hata kama Mtanzania na sio Mchagga utashangaa maana utahisi kautofauti fulani.
Sio kosa kwa watu wanaounganishwa na asili fulani kukusanyika pamoja na kujumuika, miji mingi hata Dar utakuta maeneo ya vyakula vya Kichina wanakokusanyika Wachina na kula, pia Wahindi n.k.
Unachanganya tafsiri ya kuchanganyika. Wakristo wakikutana kwa ajili ya ibada huo ni mkusanyiko wa kiimani. Lakini ukikutana Wakristo peke yao kwenye shughuli ya msiba (kwa Nchi yenye mchanganyiko wa Imani) hilo ni tatizo.
Vile vile ukikutana na Wakikuyu peke yao wakiwa kwenye kikao cha kimila hilo si tatizo lakini ukikutana na Wakikuyu wakiwa sehemu ya starehe wakiwa peke yao hilo ni tatizo.
Ukikuta Shule ya Ki'kristo ina Wakristo wengi hata 99% si tatizo. Lakini ukikuta Wanafunzi wanajitenga wakati wa 'group discussion' kwa mujibu wa Imani yao hilo ni tatizo kubwa..
Na mkubali mna tatizo kubwa la ukabila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la mila kwetu zinafanyika sana. Kuanzia Kusini mpaka Kaskazini, Mashariki mpaka Magharibi, hapo Dar tu kuna Kijiji cha Makumbusho, makabila huwa na mikutano yao ya kukumbushana jadi zao. Kila sherehe ya harusi kuna nyimbo za jadi, tunataniana pia.Bado hujaeleweka au hauelewi unachoeleza, maana kuwakuta Wakikuyu wamekusanyika eneo moja wanapata burudani itakua tatizo kivipi, wao ni watu wanaozungumza lugha moja, wana asili moja, wana kitu kinawaleta pamoja, ilmradi hawavunji sheria, wala kudhihirisha chuki dhidi ya yeyote sioni tatizo hapo.
Kibaya ni pale mpo pamoja kundi moja la watu wa aina tofauti, halafu ghafla wachache wajitenge na kwa misingi ya lugha na kabila lao, huo ndio ukabila, au kumpa mtu cheo kisa wa kabila lako.
Lakini haiwezekani unikataze nikutane na watu wa kwetu sehemu tuongee lugha yetu kujadili yanayotuhusu, mbona huwa hamuwasemi wahindi wanapokaa pamoja wakizungumza lugha zao.
Tatizo wengi wenu mlishapoteza asili zenu na kumezwa na Uswahili, ndio maana huwa inawauma sana, maana asilimia kubwa kwenu hata salamu kwa kilugha hamjui, mumepoteza kila kitu mnaishi kiutumwa.