Kuna siku ushoga utakuja kuonekana kitu cha kawaida sana Tanzania.. Vijana wadogo hawajasoma,hawataki kujishughulisha na wala hawataki kazi ngumu..ila wanataka kula bata kwenye kumbi mbalimbali..kwanini wasitatuliwe marinda wale bata wanazotamani..😕eeh mungu