fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Huo ndo ukweli,sijui RUGE hakuliwaza hilo,maskini sa hivi wanataka kumtumia aslay baada ya kumtumia haswa kiba ktk fiesta enzi zileee kutwa nzima wanacheza SEDUCErorya niliona saloon ya kiume nyumba ya udongo inaitwa WCB saloon
njia ya mabibo loyola.. mbele ya loyola ukitokea mabibo kwenda kariakoo,,, upande wa kulia barabarani kuna car wash kubwa sana inaitwa WASAFI CAR WASH ina logo za WCB kibao... hao wote ni die hard fans..
Misungwi kuna saloon pia inaitwa Wasafi...
diamond anajulikana sana kuliko clouds tukiongelea swala nchi nzima.. hata mtoto wa miaka mitatu muulize diamond au clouds ipi anaijua atakujibu diamond na atacheza ngololo ngololo
NA HIVI KAONGEZA JESHI KUBWA,HAHAHAAA WASAHAU TU KUBABEKI,WAO WENYEWE SIKU HIZI BILA KUANDIKA HABAR ZA MONDI HAWAPATI MBESAAAAMbeya nilikua najua ni Hip Hop mwanzo mwisho,lakini asilimia 70 ya bajaji zina nembo ya WCB au picha za wasanii wa wasafi.....Nimesema jana na narudia leo MTU WA KUMSHUSHA DIAMOND BADO HAJAZALIWA.ALIZALIWA KUSHINDA.
Wakuu walioko DR Congo au waliopata kufika kama watakubaliana na mimi kua kuzungumziwa DR Congo tena Kinshasa sio lele mama, mwaka 2015 nimekuta jina la Diamond Platnumz likiongelewa Congo,na sio Congo hii ya bâswahili yaani North ans South Kivu la!! Bali Kinshasa, blogs kama Kinshasamakambo.com wanamzungumzia sana tu na humpambanisha na Fally na anapata wafuasi, sasa lazima ujue kutoboa Kinshasa sio lelemama. Huko Goma na Bukavu ndio usiseme mpaka T-shirt zinachapwa na kuuzwa..mimi siwajui hao wapinzani wake ila sijawahi wasikia huko nje
Siku nyingine ukipita hyo njia nishtue mkuurorya niliona saloon ya kiume nyumba ya udongo inaitwa WCB saloon
njia ya mabibo loyola.. mbele ya loyola ukitokea mabibo kwenda kariakoo,,, upande wa kulia barabarani kuna car wash kubwa sana inaitwa WASAFI CAR WASH ina logo za WCB kibao... hao wote ni die hard fans..
Misungwi kuna saloon pia inaitwa Wasafi...
diamond anajulikana sana kuliko clouds tukiongelea swala la nchi nzima.. hata mtoto wa miaka mitatu muulize diamond au clouds ipi anaijua atakujibu diamond na atacheza ngololo ngololo
Kwahiyo Diamond ni maarufu Tanzania kuliko Fiesta?rorya niliona saloon ya kiume nyumba ya udongo inaitwa WCB saloon
njia ya mabibo loyola.. mbele ya loyola ukitokea mabibo kwenda kariakoo,,, upande wa kulia barabarani kuna car wash kubwa sana inaitwa WASAFI CAR WASH ina logo za WCB kibao... hao wote ni die hard fans..
Misungwi kuna saloon pia inaitwa Wasafi...
diamond anajulikana sana kuliko clouds tukiongelea swala la nchi nzima.. hata mtoto wa miaka mitatu muulize diamond au clouds ipi anaijua atakujibu diamond na atacheza ngololo ngololo
We unaongelea fiesta tena,tembea mikoani uone,,huyo dogo anauwezo wa kufanya fiesta zake na zikawa kubwa kuliko ya mawingu,angalia mfano kwenye wasafi festival tu mwaka jana..Kwahiyo Diamond ni maarufu Tanzania kuliko Fiesta?
Kweli vipofu wakiongozana ni lazima waingie shimoni.
Kwahiyo Diamond ni maarufu Tanzania kuliko Fiesta?
Kweli vipofu wakiongozana ni lazima waingie shimoni.