ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Ali kiba pia katoa nyimbo mpya mbona hajionyeshi?
Sawa mkuu...Mbona Ni Nyimbo 2 Tofauti
KwakweliMbaya
Ali kiba pia katoa nyimbo mpya mbona hajionyeshi?
hizi ni zile nyimbo za comedy,ambazo huwaga zina hit vibaya mno,nikuulize swali ule wimbo wa plakata rhumba unajua kilichoimbwa mule ndani? nadhan hata utakua ni shahid jins ulivyosumbua ule wimbo.Ni wimbo usio kua n maisha marefu pia nafikiri vile maswala ya uchaguzi yanakaribia ni kujipa shavu ale pesa za kampeni... beat n idea ya soapy yake Naira marley Nb mond ataendelea kuwabuluza mnoo
Hapendi show offAli kiba pia katoa nyimbo mpya mbona hajionyeshi?
Zinashabihiana Kwa kiasi kikubwa sanaMbona Ni Nyimbo 2 Tofauti