Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Aisee nimecheka sana[emoji23][emoji23] hiki kizazi cha akina Amber Rutty mnanifurahisha sanaWazeee au watu kama nyie ndio munaowapoteza wasanii na maushauri yenu yakizwazwa | utasikia msanii aimbe maisha nyimbo ielimishe msanii asikuwa na upeo nae anafatisha mwisho anaimbia ndugu zake.
Ifikie wakati tuongee mantiki zinazoonekana practical sio unafikili kwa vidole na ku-type, Angalia Darasa kuna mtu aliimba ayo mafunzo na maisha kama yeye akipata nini kaja kuimba “Safari na mziki" “Too much" nk watu ndio wamemuelewa, 20 pacent kaimba maisha weeh ayupo, Bestnaso kaimba maisha maishaaa ayupo, kwahiyo ifike mahari tuongee vitu practicable sio kuleta ukoloni ukoloni kwenye sanaa.
Kwahiyo hakukuwa na haja ya kutoa maoni yenye kuonyesha chuki kwenye kitu ambacho haujasikiliza na wala hujui maudhui yake.Sijausikilza sababu tu sio aina ya miziki yangu.
Matusi sio lazima utamke kiungo cha matusi kwa jina lake, hata maudhui tu inatosha kutafsiri tusi.Alichompa mama sasa tusi lipo wapi, munafosi ili ukosoe MTU watu wapuuzi.
Hahahaaa aisee nyie watu jitahidini msikilize nyimbo na sio mizikiKwahiyo hakukuwa na haja ya kutoa maoni yenye kuonyesha chuki kwenye kitu ambacho haujasikiliza na wala hujui maudhui yake.
usishangae wa kwambia bora nyegezi wakati wao ndio wakiokuwa wa kwanza kuuponda.Kwa huu wimbo huu wa Diamond. Wapo wanafiki wengi.Sijui Dee wanataka aimbe nini?
Kuna wimbo alishirikishwa akaimba "weka mate nteleze, kama nyoka pangoni" hayo maneno hayana ukakasi wowote kimatamshi. Ila kimantiki maudhui ya maneno hayo huwezi yasikiliza ukiwa pamoja na binti yako aliyefikia umri wa usichana!!Music is a universal language, huhitaji kujifunza lugha mpya ku-enjoy muziki mzuri. Pia kwenye huu wimbo sijasikia lugha ya matusi au ya kuudhi. Give credit where credit's due.
Kwa huu wimbo huu wa Diamond. Wapo wanafiki wengi.Sijui Dee wanataka aimbe nini?
Kweli wazee hatuna siku hizi kumbe mpaka wewe unamjua na kumfuatilia Amber Rutty.Aisee nimecheka sana[emoji23][emoji23] hiki kizazi cha akina Amber Rutty mnanifurahisha sana
Nyimbo za tz hizi sio international, jaribuni kumuelewa Mond please.Wimbo wa kawaida sana..
Acha niendelee kusikiliza
√Zeze ya JayMelody
√Inatosha ya Marioo
√Mafanikio Fid q ft Baraka de prince
nakubaliana na wewe.. ukiangalia video zake lazima ujue huu mkono wa ZOOMHuyu editor wa zoom productions hana ubunifu video zote zinafanana