Namlaumu sana kaka yangu kuishi Kigoma na akajifunza lingala then nikiwa mdogo nyimbo za Kizaire zikipigwa ananitafasiria maana yake!! Ndipo nilipokuja kugundua miziki na wanamziki wako DRC ya sasa. Sijawahi kudownload wimbo wowote wa bongo baada ya Ugali wa Juma Nature. Someni Kifaransa wakuu muenjoy nyimbo za maana za kina Koffi, Ferre, Fally, Werra,Fabregas au muendelee kusikiliza matusi