1.Ni simulizi iliobeba hofu ya watu
wengi nisipokuwa na MALI,
KAZI,NIKIPIGIKA je ni nani ataendelea
KUNIPENDA? KUNISIFIA na kukaa
karibu yangu kwa sasa
2. Imejitosheleza KIMASHAIRI
mashairi yameshiba na yana kina
tofauti tofauti na nyimbo nyingi za
aina hiyo zenye mashairi ya kuunda
sana
3.VIDEO ya Wimbo imechukua sana
# Uhalisia zaidi wa MAISHA yake kwa
kuwatumia Watu wake muhimu
Maishani wawkiwemo # mama yake
mzazi # BI_SANDRA , Mchumba wake @
zarithebossylady mwanae # TIFFAH Na
meneja wake wawili
#@babutale
# mkubwa@Fella
4.Ni bongoflavour halisi ambayo kwa
ukubwa wake imekuwa na maana
kubwa kwa sasa kufanya nyimbo.za
aina hiyo ili kutangaza mziki wetu
KIMATAIFA kutokana na ukubwa wake
Africa na Dunia nzima kwa ujumla
5.Wimbo umetumia asilimia 100%
KISWAHILI .. hii imewafanya wengi
wasioelewa Kiswahili kuhangaika
kujua walau kidogo nini @
diamondplatnumz anamaanisha na
matokeo yake ni lugha kusambaaa
duniani
6.Imeleta utamu kwa kutumia MASTAA
wengine wa Kibongo kwenye VIDEO
(CAMEOS) wakiwemo#MwanaFA
# CHEGGE
#SHAA #HARMONIZE
# MASTER_JAY NA # WALPER
7.kawakumbuka MASHABIKI zake
waliokuwa wakijitokeza
#AIRPOT
kumpokea kwenye # TUZO mbalimbali
8. Unaweza kuingiza MKWANJA kwa
VIDEO yako pia # DrMwaka na Klinic
yake imepunguza gharama aliotumia
kumlipa
#godfather
9. Unaweza pia kumtumia EX wako
kuwa VIDEO Queene..(WAlper) hard
feelings veeep kuhusu # Sepetunga na
# Kidoti???
10. Its a BRILLIANT VIDEO and a
MASTERPIECE
kwa upande wangu Video hii imeniliza
coz inaelezea maisha halisi sijui ww
kwa upande wako????