MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Wasisahau kulibebesha dunia
haina haja ya mambo yote hayo kimya kimya tu mambo yanaishaOfficial report ingetolewa toka jana na Jeshi au tusubiri leo official toka jeshini
Aende tu apigwe intro ya masaa 8.Watu wengine wanadhani kuvaa sare za makamanda ni kitu rahisi tu.Makamanda lile kazi ilo.
Hapana kuchezea makamanda wa JWTZ.Lazma afanye kazi za watu..... Mpeni lonja jamaa
Wewe si ulikua unamtetea yule mwingine aliyeoga pale k/koo?Ni kweli aende tu mtu ana zivaa wakati.hajafanya hata zoezi moja la jeshi tena anajipaka na wanja na lipstick anaimba nalo mwanaume hapo si kulozalilisha jeshi kwa mambo muhimu wanayo tenda tena jeshi letu lina heshimika kote sub saharan mana kuvaa hivo na wengine wataiga wataona kawaida kwa vile daimond alivaa na hakuchukuliwa hatua