Waungwana leo wakati nikienda Masjid hapa mjini GOMA, hamadi nikakutana na duka moja wanauza maT-shirt na nguo nyinginezao, miongoni mwa T-shirts hizo ambazo kwa mujibu wa muuzaji zinapupiwa sana ni za msanii Diamod Platnumz na Rick Ross . Hivi huyu mwanamziki anajua kama DRC watu wanavuna mgongoni kwake?View attachment 232533

Diamond naye ni JF Member
Diamond naye ni JF Member?
hivi Mawingu Fm na Ruge wake wasanii wameshindwa kumdhibiti.?Mkuu Hao Wakongo Wa DRC Mbona Wako Mbali Sana? Huyu Jamaa Hapa Hapa Bongo Anaibiwa Sana Na Ile ON SALE RADIO STATION ( Mawingu FM ) Kupitia Kwa Kibaka Mzoefu Wa Wasanii Wa Bongo Ruge! Na Anaibiwa Haswa Na Kunyonywa Nae Mno Tu.
Washauri kama nyiyi ni hasara mno!!acha aibiwe mkwanja mbuzi wa tshirt huko DRC!! yeye aende kupga show za maana uko bondeni(south)
hivi Mawingu Fm na Ruge wake wasanii wameshindwa kumdhibiti.?