nimekumiss sana mamaa Lady doctor.
yani kila ninapokuona kwa jina huwa nahisi kitu fulani hivi kunako moyoni!
good morning my dear!
how are you?
nasubiri akolee atakapoanza kuvua nguo na kuokota makopo ndo nitacomment. mia
heaven on desert ndiye aliyekata umeme siku ile ya fiesta! so mzee d.omo kamtimua kibarua!Hahahaa haaaa uwiii
Ngoja aje mwenyewe
watu wametabiri, kwa kuwa ni kijana wa kiislam ataoa 4 akianza na hao wawili wanaomake headline, na baada ya mwaka mmoja ndo atafanana namna hyo
nimekua busy kidogo. so nachungulia fasta fasta but usijali coz tupo pamoja sana. miakajidhalilisha huyo Diamond
Babe uko wapi sijakusoma hizi siku mbli tatu
nimekua busy kidogo. so nachungulia fasta fasta but usijali coz tupo pamoja sana. mia
heaven on desert ndiye aliyekata umeme siku ile ya fiesta! so mzee d.omo kamtimua kibarua!
kwani siku hizi anasikika? diamond ana hasira kama nini sasa hivi!!