Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,987
- 41,302
HaaahaaSasa unamkoromea nani na miherufi yako mikubwa hiyo
You are Nonsense
Au Modds mnasemaje?
Mwambie mwigulu na sisi tunaanda sheria ya kuwafunga wote wanaojiandika kwenye mawe kuwa wao ni marais wakati sio kweliHaaahaa
NIMESIKIA MWIGULU NCHEMBA
Leo bungeni kasema ana andaa utaratibu wa kisheria kwa wakwamisha maendeleo kwenye mitandao ya kijamii na wapinga hoja za serikali kweny mitandao...
Angalia brother maana "maumivu ya kichwa uanza polepole"
Nimecheka kweli yaan Ni burudaniMwambie mwigulu na sisi tunaanda sheria ya kuwafunga wote wanaojiandika kwenye mawe kuwa wao ni marais wakati sio kweli
Tunapo zungumzia Azam fc Ni too generalHapo kwenye Azam FC kuwa na udini inabidi utuelezee ni dini gani inayotengwa uhindu au Uyahudi?
Sababu kikosi chao cha kwanza eneo la ulinzi lina wakristo wengi Aggrey Morris (C), Bruce Kangwa, Nicholas Wadada na Joseph Mahundi.
Eneo la kiungo lina Waislamu wengi Mudathir Yahaya, Salum Abubakar na Idi Kipagwile
Eneo ushambuliaji kuna mchanganyiko Obrey Chirwa, Richard Djodi (wakristo) Shaaban Chilunda na Iddi Suleiman (Waislamu)
sasa unaposema Azam FC kuna udini sikuelewi.
Kumiliki timu ya mpira s Kama kumilki kituo Cha redio au tv mpira Ni issue nyingneNiwasalimu wote.....amani ya bwana iwe nanyi.....
Najua duniani nakwingineko kwingi ligi mbali mbali zimesimama
Kutokana na JINAMIZI
la covid 19
HUWA NATAMANI KUONA TIMU YETU YA TAIFA NA CLAB ZETU ZA SOKA TANZANIA ZIKIFANYA MAKUBWA AFRICA
NA NDIO MAANA NIKAJA NA HUU UZI "DIAMOND PLATINUM FC"
INGETOKEA MATAJIRI WAWILI AU MMOJA ILI KUFANYA
"FOOTBALL REVOLUTION IN TANZANIA"
ZIKATENGENEZWA TIMU NYINGINE MBILI NZURI ZITAKAZO ENDESHWA KISASA
ACHANA NA AZAM FC INASADIKIKA PALE KUNA U FATHER NA UDINI
KWANINI TUSIWE NA TIMU AMBAZO ZITAENDESHWA KISASA TIMU AMBAZO HATA REFA AKILETA USIMBA NA UYANGA
UKIZIFANYIA FIGISU FIGISU ZITAIBUKA NA ZITASHINDA UWANJANI
Zi ibuliwe TIMU AMBAZO kwa kupenda au kutokupenda watu watajikuta wanazipenda na kuzishabikia....
NIMESIKIA SIKIA FUNUNU DIAMOND PLATINUM ANATAKA KUANZISHA TIMU YA MPIRA
NI KWANINI SOKA LA BONGO LIMEKUA "DOMANT" KWANIN KUSIFANYIKE TRANSFORMATION YA SOKA TANZANIA.
NI NINI KINACHO TUKWAMISHA?? NI JINAMIZI GANI ?? HUWA NAJIULIZA MATUMBO YA MAMA ZETU NA DADA ZETU YAMEACHA KUZAA VIPAJI?
ha haaaaaaaaaaaNiwasalimu wote.....amani ya bwana iwe nanyi.....

Viongozi wao..na usimba mwingiiiiHapo kwenye Azam FC kuwa na udini inabidi utuelezee ni dini gani inayotengwa uhindu au Uyahudi?
Sababu kikosi chao cha kwanza eneo la ulinzi lina wakristo wengi Aggrey Morris (C), Bruce Kangwa, Nicholas Wadada na Joseph Mahundi.
Eneo la kiungo lina Waislamu wengi Mudathir Yahaya, Salum Abubakar na Idi Kipagwile
Eneo ushambuliaji kuna mchanganyiko Obrey Chirwa, Richard Djodi (wakristo) Shaaban Chilunda na Iddi Suleiman (Waislamu)
sasa unaposema Azam FC kuna udini sikuelewi.
Sisi tunajadili hoja brother toa hoja punguza mihemko....azam fc kuna udini?wabongo hawana dogo,shenzi kabisa