Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,047
- 16,196
Yaani tena mabaunsa ya vile juu mwili chini tambi ... Wepesi kinoma kuchapika....Kumbuka kuna vyuma vingine vigumu kaka ukipambanisha na vitasa vyako vinaweza kuvunjika
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nichokoze kama unanifahamuAaa wapi! Watoa vichapo hawaji kulia lia kwenye mitandao.
Ungechakazwa, sema diamond aliona atagharamia uharibifu
Mtafute mahali umpe za usoMkuu unanijua vizuri au unanchukulia poa, mimi ndio ningepata hasara ya kumtibia yule baunsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baunsa hajakosea kwa mwonekano wa threads za huyu jamaa inaonekana yeye ndo alienda kumshobokea diamond akazuiwaWasafi sio watu wa mchezo mchezo nipo Morogoro hapa - JamiiForums
Wasafi sio watu wa mchezo mchezo nipo Morogoro hapa
Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media - JamiiForums
Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media
LICHADI adi morogoro ulimfata
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na mimiBaunsa hajakosea kwa mwonekano wa threads za huyu jamaa inaonekana yeye ndo alienda kumshobokea diamond akazuiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
PNingekuwa mimi ningempa mashoto kan ya chapchap kabla huyo Diamond ajaomba samahani.
HahahaBila picha ya misuli ya baunsa na yako tutaaminije