Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,015
- 16,145
Yaani tena mabaunsa ya vile juu mwili chini tambi ... Wepesi kinoma kuchapika....Kumbuka kuna vyuma vingine vigumu kaka ukipambanisha na vitasa vyako vinaweza kuvunjika
Sent using Jamii Forums mobile app