Wakati wabongo tunafikiria kufanya vitu ili kuuza sura wenzetu wanareinvest pesa wanazopata sababu wanajua muziki haudumu,ipo siku utashuka,nimesikia p square wanainvest kwenye mafuta,mleta mada badala ya kumshauri diamond kuwa investor nyumbani hapa akatoa ajira zaidi anamshauri anunue ndege,ambayo itamwingizia gharama lukuki na mwisho wa siku ataiuza,bogus.