Watu wengi wanapenda hayo mambo uliyoyataja hapo juu. Kiufupi jamaa yupo kibiashara zaidi.Yule dogo mi mwenyewe simuelewegi harakati zake yaani yupo kichokochoko,we ona
1.Mara apake wanja
2.anakatika viuno vya ajabu ajabu(tazama mwimbo wa katika alioshirikishwa na navykenzo)
3.sikiliza vizuri mashairi yake mara sijui amber rutty,mara sijui mafuta yamefanyaje,sijui asafishe mtaro,yaani ana mambo ya kifirauni firauni,eti matako yapo ndindindi apake mafuta mgando
4.angalia sasa nguo zake,suruali anayovaa yule jamaa aisee we huwezi kuvaa sheikh wangu
5.mara avae kikuku,Mara atoboe pua
6.halafu nasikia eti yale manguo yenye marangirangi meeengi kama rainbow, eti ni bendera ya mashoga duniani,sasa nashangaa dogo ndo anayapenda kinyama yani,ata kwenye gari na ile ndege ya wasafi festival kayachora marangirangi yake..sasa leo ndo nasikia kashikwa tako,aisee nimehudhunika sana!!
Ila dogo mziki wake mzuri balaa,unaweza kuombea mkopo NMB...lakini ndo haufai kwa watoto wetu!
Matako ni yake lkn mipyongolo..ni yetu...waliwao tigo si wanapigwa na mipyongolo ya watu wengine!!?Matako si ni yake jamani mbona watu mna wivu hivyo? Haya njooni niyashike yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mipyongolo ni nini? Hebu nitoe ushambaMatako ni yake lkn mipyongolo..ni yetu...waliwao tigo si wanapigwa na mipyongolo ya watu wengine!!?
Gegedo
Kwa hiyo akishikwa makalio nyie mipyongolo yenu inapwita?Gegedo
Jamaa yuko vizuri kwa kutafuta kiki tu,Watu wengi wanapenda hayo mambo uliyoyataja hapo juu. Kiufupi jamaa yupo kibiashara zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi waliomshika wapo vidume hapo? Mi naona ni wadadaJamaa yuko vizuri kwa kutafuta kiki tu,
Ila hii ya kushikwa tako ni bab kubwa..!!
Ndio tunataka tupenyeze...Kwa hiyo akishikwa makalio nyie mipyongolo yenu inapwita?
Kuna njemba imevaa kepu, iangalie vizuri. Kuna nyingine inampapasa mguu
Peleka request hakuna haja ya kulalamikaNdio tunataka tupenyeze...
[emoji1787][emoji1787]Kuna njemba imevaa kepu, iangalie vizuri. Kuna nyingine inampapasa mguu
Kuna lijamaa hapo limevaa kofia ndo limeng'ang'ania haswaa linaonekana limehamasika vibaya mno..
Tutafata ushauri usihof...
Kwahiyo wakipenda kumkonki atawapa sababu za kibiashara?Watu wengi wanapenda hayo mambo uliyoyataja hapo juu. Kiufupi jamaa yupo kibiashara zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app