STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38. 1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi .

Kama mwaka 2014 alinunuliwa Lexus kama zawadi na ukiachana na the fact kwamba hatujawahi ona akiendesha, leo hii tena tunasikia kamnunulia sijui v8.. Ina onyesha anamtumia mama yake kutafuta headline. Hamna cha zawadi wala nini