Diamond akaribishwa Kenya

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Mkurugenzi wa Bodi ya Filamu, Ezekiel Mutua amesema msanii huyo yuko huru kufanya matamasha nchini kwao

Hatua hii ni baada ya msanii huyo pamoja na mwenzie Rayvany kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) baada ya kuimba wimbo wa Mwanza uliofungiwa

Mutua amesema hawawezi kumzuia msanii huyo nchini kwao kwakuwa amefungiwa kwa kanuni za Tanzania

Hata hivyo Wasanii hao (Diamond na Rayvany) wameomba radhi kwa BASATA ingawa bado hawajaondolewa kifungo hicho


======

Tanzanian Bongo Flava star Diamond Platinumz is free to perform in Kenya, this is according to Kenya Film Classification Board CEO Ezekiel Mutua.
Speaking to Pilipili FM, Mutua said Kenya is not bound by the decision of Tanzania's regulatory body Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) to ban the singer over his controversial song Mwanza.

Mutua explained that he cannot stop or arrest the Wasafi CEO based on the neighbouring country’s ‘morality’ laws but noted that the singer is subject to Kenyan laws once he jets in.

''We are Kenyans, we are not Tanzanians but they have been banned to perform outside Tanzania so it is purely their decision. Have seen the board has written their statement, they have banned them from performing even outside Tanzania.

Their statement says they will jail them for life if they fail to follow the order. I don't think I have anything to say, we are not Tanzanians and they've been banned by the Tanzanian government, if they perform it’s their own business, I cannot arrest them because they have been banned in Tanzania, I can only arrest them with the laws of Kenya.

“There is no issue, it is not me it is them but if they come here and commit crime in the event, we will deal with them with Kenyan law. It is not really our decision, we have nothing to do with it, whether they come or not, we are not involved in any way and cannot stop them from coming because of Tanzania. We can only ban them because of our laws here,” said Mutua.

Platinum: Tanzanians trounce Kenyan artists by achieving over 100 million views

Diamond Platnumz and his Wasafi label mate Rayvanny were banned from performing in and out of Tanzania by BASATA after they performed the outlawed “Mwanza” song during their Wasafi Festival tours. The body claimed that the song was lewd.

“The board has reached a decision to formally ban Diamond and Rayvanny from holding performances in and outside Tanzania due to their indiscipline and disrespect to BASATA. The Wasafi Festival organizers have shown that they would do everything possible to disrepute the board,” read part of the letter.
 
HAYA SI NILISOMA KUWA SHERIA ZA HAWA JAMAA ZINAFANYA KAZI HATA NJE YA MIPAKA KWA SABABU WANA MAHUSIANO NA VYAMA VINAVYOSIMAMIA SANAA VYA NJE YA BONGO?

Naona Indian movie hapa 😂 😂...!
 
HAYA SI NILISOMA KUWA SHERIA ZA HAWA JAMAA ZINAFANYA KAZI HATA NJE YA MIPAKA KWA SABABU WANA MAHUSIANO NA VYAMA VINAVYOSIMAMIA SANAA VYA NJE YA BONGO?

Naona Indian movie hapa [emoji23] [emoji23]...!
[emoji23][emoji23][emoji23]sharuk khan anauza nyoka matoi
 
NTV kenya wanaonyesha matangazo ya wasafi festival kama kawaida.
 
HAYA SI NILISOMA KUWA SHERIA ZA HAWA JAMAA ZINAFANYA KAZI HATA NJE YA MIPAKA KWA SABABU WANA MAHUSIANO NA VYAMA VINAVYOSIMAMIA SANAA VYA NJE YA BONGO?

Naona Indian movie hapa 😂 😂...!
Sheria za BASATA dunia nzima kama universal law of gravitation.BASATA oyee!
 
HAYA SI NILISOMA KUWA SHERIA ZA HAWA JAMAA ZINAFANYA KAZI HATA NJE YA MIPAKA KWA SABABU WANA MAHUSIANO NA VYAMA VINAVYOSIMAMIA SANAA VYA NJE YA BONGO?

Naona Indian movie hapa 😂 😂...!

Unataka ubishane na Mkurugenzi?
Kingekuwepo unachodai umesikia unadhani asingesema?
 
Basata angalieni upya sheria zenu Na maamuzi yenu dawa ya watu kama kina diamond Na wasafi in kuwapiga fine ya maana wasingerudia tena ..unampiga fine ya million 100..angeacha ujinga wake Mara moja.

Sasa wenzenu hiyo taasisi ya filamu Na sanaa ya Kenya wameona fursa maaana wataingiza fedha nyingi kupitia hayo matamasha ya wasafi huko Kenya.
 
BASATA tuheshimu taaluma dogo kidogo kufikia hadhi ya ambassador ehh whats the fancy name ?Yes plenipotentiary.
 
wajuzi wa sheria watujuze katika hili la diamond na basata.maana basata wamesema asifanye mziki ndan na nje ya nchi.je itakuwaje kama akifanya hiyo show nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…