nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Leo nimekuwa nikinunua umeme toka asubuhi, nimekuwa sipati token eti hela haitoishi na kwamba pesa ninayonunulia umeme inalingana na ninayodaiwa.
Serikali imetudanganya kuwa itakatwa 1000 kila mwezi,nami ktk mwezi juu nimeshanunua umeme Mara mbili. Swali linakuja,inamaana hawakuwa wanakata.
Kama haitoshi,nilikuwa nanunua umeme wa 20000, INA maana nadaiwa 20000? Maana SMS inarudi kusema deni ninalodaiwa linalingana na deni.
Nimeuliza mtandao ninaotumia kuhusu deni, wanajibu siyo peke yangu ninayelalamikia hili ni wengi sana. Sasa nimeamini kumbe waarabu hujitoa mhanga kwa kuchoka kuzurumiwa na kakikundi ka wachache wanaojiona miungu watu.
Onyo
Serikali zuluma itafika mwisho