Simba mchezaji anayelipwa hela nyingi 1m bishaa... Tambwe alikuwa analipwa simba 900,000 professional player kha... Ndio maana kessy amekubali kuja kukaa benchi Yanga. Kaseke alivyopata ajali ya bajaj aliambiwa na uongozi nunua gari.. Lakini simba wanapewa na matapeli wa simba.