Kuweni makini kamanda hizo hujuma sio za bahati mbaya, wanafanya makusudi kisha mkiwajibu mkamatwe mfungwe mpaka tar 26 au 25 jioni. Ni miongoni mwa maelekezo toka lumumba kukamilisha goli la mkono. Sio Moshi tu ni sehemu nyingi nchini vijana wa ccm wanafanya hivyo.
Kuweni wapole tuwachinje taratibu wamekwisha elekea kibra hawa.