Mkuu mimi umeisha niacha mbali...ila naomba ni njia ipi ni pitie...ili niweze kutengeneza program itakayoniwezesha kutumia kompyuta yangu kuvisoma/synchronize vifaa/hardware, say, alarm system ya nyumba au vifaa vingine vya kuchukulia vipimo kama sensor za ku'detect' joto, mgandamizo, kani, unyevunyevu na kadhalika.
Nina idea juu ya TURBO Pascal program ya
Nitashukuru sana...mkuu.