250,000 mkuu karibu tufanye biashara.Bei Mku
bora nibaki nayo mkuu, sio kwa bei hiyoKAMA HAUJAIUZA NDANI YA MIEZI MIWILI,NI PM NIKUPE LAKI NA 20 UNITUMIE A-TOWN HUKU.
poa mkuuKama hautaiuza kufikia Mei Mosi, ni PM tuyajenge kwa 150k.
may be kwako, mimi ninazo 4 na hazijawahi kuleta tatizo kama hilo.Changamoto ya hizi machine ni "motherboard faults" machine inazimika ghafra na kila ukipower on inawaka orange light.
contact zako naomba TUWASILIANE sasahivi hivi tafadhari.closed