Mzee mwenzangu naona umetuweka viitikio.geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu
emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia
Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro
Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
hahahahhah eb akuje kwakweliSjaelewa hata hebu mwite atubabavulie
Kwan wewe ndio mwenye thread ishia zako
Hamuogopi ya siku ile eee.hii thread mwisho itakua yetu tu ndio tumeshaongea wenye thread
Tehteh nikizinguliwa utanitetea mkuu![emoji115]Mkuu msema kweli ni mpenzi wa Mungu na kwenye hilo umesema kweli kwa hiyo wewe ni mpenzi wa Mungu!!....Kwenye huu uzi nilifikiri unatania ila nimeamini kuwa unatoa data za ukweli baada ya kuona hii fact!
Hahahahaaa! Nimecheka mpaka basiMzee mwenzangu naona umetuweka viitikio.
Ila Asprin bhana anachekesha saana huyu jamaa.
Tatzo lako nikikuelezea ntasema vya ukwel ukwel bora tu nikae kimyaMzee mwenzangu naona umetuweka viitikio.
Ila Asprin bhana anachekesha saana huyu jamaa.
mm nshajizoelea wanipe tu labda bonny mana alisema arudi jfHamuogopi ya siku ile eee.
Au mshasahau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwangu wa tatu.
Ni espy
Huyu shemeji yangu anapenda kujikuza saana. Ni katoto ka juzi ila utaskia mimi mkubwa eti
Yeye kila mwaka anabadilisha mwanaume. Nikaona basi isiwe shida nimpe jina shemeji ili kumrahishia kazi.
Anapenda pesa ila ni kwa misimu. Kama kipindi hiki naona suala la pesa hajaligusia. Ukimkuta yupo serious ni malkia wa nguvu.
Hahahaa! Imekuwaje tena mbona karejeamm nshajizoelea wanipe tu labda bonny mana alisema arudi jf
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemeji kwani hauoni nimeongea mimi basi naenda kuedit.
Naona mmetumwa nyie sio bureHahahaa! Imekuwaje tena mbona karejea
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemeji mie napenda pesa misimu yote kuanzia kiangazi, kipupwe hadi masika bwana.
Shemeji mbona sibadilishi sana list sio ndeeefu kivile, ni mmoja tu MO11.
Si unajua vile ninakukubali eeeh[emoji109] [emoji109]
Alafu tokea uanze kunidogoisha mbona sioni matokeo chanya? Hebu harakisha basi.
Ha ha ha ha kwahyo acha tuseme ya wwngne maana ya kwetu yataharbu threadNdiyo maana sijakubabavua mimi. Nimekuacha unahang