Jaman naomben kuuliza je unaweza kuflash simu bila kutumia box ukatumia pc na usb tu je ni progam gan inatumika? Na inapatikanaje nuatashukuru wadau kwa anaejua anitext inaitwaje 0785764488
Nicheki whatsapp tupatane ata ukiwa mkoani ukiweza nakuja na mzigo nakuelekeza na soft nakupapa gharama tu.ata samsung inawezekana.ila ukiwa box bora zaidi