M mor112 Member Joined Mar 6, 2010 Posts 16 Reaction score 0 Dec 13, 2012 #1 Natafuta dereva mwaminifu wa malori mwenye uzoefu wa miaka 10+ naa safari ndefu zaa nchi zaa nje, umri miaka 40 na kuendelea, kwa kuendesha lori moja yaa mtu binafsi, Lazima awe naa wadhamini wawili wa kuaminika. email. mhandule@gmail.com Asante
Natafuta dereva mwaminifu wa malori mwenye uzoefu wa miaka 10+ naa safari ndefu zaa nchi zaa nje, umri miaka 40 na kuendelea, kwa kuendesha lori moja yaa mtu binafsi, Lazima awe naa wadhamini wawili wa kuaminika. email. mhandule@gmail.com Asante
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Dec 13, 2012 #2 Kuna jamaa mmoja alikujaga hapa watu wakamuita ni Spam, anafahamika kama Mgengeli. Kama kweli sio wewe mwenyewe basi mtafute yeye, anapenda sana story hizi za Madereva wa Magari makubwa!!
Kuna jamaa mmoja alikujaga hapa watu wakamuita ni Spam, anafahamika kama Mgengeli. Kama kweli sio wewe mwenyewe basi mtafute yeye, anapenda sana story hizi za Madereva wa Magari makubwa!!